Familia moja Webuye yataka shule kutafuta mtoto wao aliyepoteaadfhsdfhsfg

Familia moja kutoka kijiji cha Sawa katika eneo bunge la Webuye Magharibi inalilia haki baada ya mwanao kutoweka miezi mitatu iliopita akiwa shuleni. Mwanafunzi huyo kwa jina Doricus Nasimiyu Mulunda wa miaka kumi na mine wa kidato cha kwanza katika shule ya upili ya wasichana ya Namawanga inasemakana alipotea kutoka shuleni  Juni 6 majira ya asubuhi. Mamake Vista Mulunda anasema kua alipigiwa simu na naibu wa mwalimu mkuu akiuliza kama mwanawe amefika nyumbani, Vista akichukua juhudi za kuenda shuleni na kupata mwanawe hayuko. Juhudi za kumtafuta ziliaza lakini hadi sasa familia hiyo hajafanikiwa kumpata, ikinuoshea lawama shule ya hiyo kwa kupotea kwa mwanawe. Kulingana na mwalimu mkuu wa shule hiyo Jane Owour alisema kuwa shule yake iko na maaskari saba wa kulinda usalama lakini hawarlewi jinsi mwanafunzi hiyo aliteweka na wameshirikiana na familia hiyo kumtafuta jinsi mtoto ilipotea  katika sehemu zote lakini hawajampata akirai mtu yeyete ambaye anaweza kuwa amemona apogee ripoti katika kituo cha polisi. Wazungumzaji; Jane Owour , mwalimu mkuu Namawanga girls Hotham musamali babake Moses nyongesa , babake mdogo Vista Mulunda , mamake msichana
|
News Features