Kutotaka mtoto kwa Hiari || Gumzo la Sato
Show more
|
Kutotaka mtoto kwa Hiari || Gumzo la Sato
May 27, 2023
Kulea Mtoto asiyekuwa wako
Oscar Musonye alioa mke aliyekuwa na watoto 3 kutoka kwa mume mwengine. Ni mwaka sasa katika ndoa na Oscar anasema amechukua majukumu kamili ya kuwalea watoto kama baba. Oscar anakiri kuwa haoni njama fiche wala utata wowote wa kulea watoto siku za halafu. Ameeleza kisa chake kwenye #GumzoLaSato baada ya maamuzi ya mahakama ya rufaa kwamba mume anafaa kuendelea kulea mtoto asiye wake hata baada ya kukosana na mama. Imezua mdahalo mkali. Je,ni haki?
May 21, 2022
Mtu anapaswa kuvumilia mateso kiasi gani katika ndoa?
April 16, 2022
Martha Wanjiku: Mume wangu alikuwa na uhusiano na mama yangu
February 26, 2022
Wanawake wa kulipa 'bills' wako?
January 22, 2022
Je, ndoa bila 'ngoma' ipo?
October 23, 2021
Mke mwenza ana raha kweli?
September 4, 2021