Video Player is loading.
KISIIrani: Arati vs Osoro
Kaunti ya Kisii inashuhudia dhoruba kali, kivumbi, na mvutano kati ya gavana Simba Arati na kiranja wa wengi kwenye bunge la kitaifa Silvanus Osoro. Wanasiasa hao ambao zamani walikuwa na ukuruba sasa ni mahasimu. Lakini chanzo cha uhasama wao ni upi?
Uadui huu umeibua masuali na minong’ono huku ubabe wa kisiasa kati ya Kenya Kwanza na Azimio la Umoja ukionekana kama chanzo cha uhasama. Hata hivyo wanakandarasi ambao wanasema walishamaliza kandarasi tofauti wana hasira wakidai malipo yao, Osoro akionekana kuwa mtetezi wao naye gavana Simba Arati akisistiza kwamba sharti sheria ifuatwe ya malipo.
Mwanahabari wetu wa masuala ya siasa Melita Ole Tenges alifika kaunti hiyo na kuzungumza na viongozi hawa akiangazia kisiirani Kisii.
Behind the byline
A journalist is your first point of contact with information that is either...
September 1, 2024
The bandit lands
Over the last 25 years, Kenya’s expansive North Rift has been an insecurity...
August 25, 2024
How specialised programs in Kisumu are empowering the signing community | E...
This week on Equality, our Gender Affairs Reporter, Ruth Munyi, takes us to...
August 24, 2024
Bishop Alexander Kipsang Muge: Ultimate Price.
It is now thirty-four years since the death of then vocal ACK Bishop of Eld...
August 18, 2024
Four-year-old develops fistula after being defiled by neighbour | Equality
A young mother is grappling with emotional trauma while her four-year-old d...
August 18, 2024
The plastic restaurant in Lamu making progress in addressing plastic pollut...
The communities in the Lamu archipelago have made remarkable progress in ad...
August 13, 2024
Logs of contention: The Battle for Kenya's eucalyptus
A year after the lifting of the logging ban in Kenya, local timber manufact...
August 11, 2024
Thank you for the rain
Five years ago, Kisilu, a Kenyan farmer, began using his camera to document...
August 7, 2024
#CoupDeterred: Intrigues of attempted coup on President Moi's government
Last Thursday marked exactly 42 years since the failed coup attempt of 1st ...
August 4, 2024