
BIO
Najiamini kwa kuwa mwanamke mwenye tajriba na mmilisi wa fani ya uanahabari na mawasiliano. Safari yangu ya uanahabari iling’oa nanga rasmi mwaka wa 2016 kwenye kituo cha habari cha runinga ya EBRU na baadaye nikajiunga na kituo cha redio cha Kubamba...
Read full bio