Chechemua

Serikali imeanza kupigana na wagema wa vileo hatari kwa afya ya wananchi. Lakini kule minazini Kilifi wagema hawataki kusumbuliwa kwenye baa za mnazi. Nako Kiambu, wazee wanasema pombe yao ya muratina isiguzwe. Kule Nandi bei ya mahindi choma imepanda maradufu. Wahubiri hawajang'ang'ania bei ya mahindi choma, bali bei ya maploti.
|
News Features