Igathe aendeleza kampeni katika mitaa ya mabanda

Mgombea wa kiti cha ugavana kaunti ya Nairobi Polycarp Igathe  ameendeleza kampeni zake kaaika mits kadhaa Nairobi akiuza sera.

Igathe alisema kuwa ataendeleza miradhi ya maendeleo huku akihaidi kuhakikisha kila mkaazi wa Nairobi atapata maji safi ya matumizi nyumbani.

|
News Features