Kilifi: Washukiwa 81 wakamatwa kwa madai ya kujihusisha na genge haramu

Polisi katika Kaunti ya Kilifi wanawazuilia washukiwa 81 wanaidaiwa kujihisisha na genge haramu. Washukiwa hao walikamatwa eneo mtomondoni wakiendeleza mkutano ndani ya nyumba moja ambapo baadhi ya vitu walivyoshikwa navyo ni mapanga na visu zaidi ya 30 pamoja na vifaa vinavyoaminika kuwa vya Uganga na picha za watu. Washukiwa hao kati ya ya umri wa miaka 20 hadi 70 wanadaiwa kutoka sehemu mbalimbali kama kwale, Rabai na Mombasa.

|
News Features