Mabaki ya aliyafunikwa mgodini, Tom Okwach, yapatikana.

Furaha pamoja na Huzuni zilishuhudiwa mapema leo katika kijiji cha Abimbo kaunti ya Siaya baada ya Mabaki ya mwili wa mchimba migodi kupatikana miezi sabaa baada ya kufukiwa kwenye mkasa wa mgodi kuporomoka. Waliokuwa wakifanya shughuli hiyo ya kutafuta mabaki ya mwili wa Tom Okwach walipata mabaki hayo yakiwa yamekwama katikati ya vifusi chini ya mgodi huo wa mita 150 mwendo wa saa nane alfajiri.
|
News Features