Usalama wa DRC: Rais Kenyatta akutana na viongozi wa EAC Ikulu ya Nairobi

Marais kutoka ukanda wa Afrika Mashariki wanakutana katika ikulu ya Rais, Nairobi kujadiliana kuhusu kikosi maalum cha kijeshi ambacho kinatarajiwa kutumwa katika eneo la mashariki mwa DRC kudumisha amani.
|
News Features