Video Player is loading.
Vuguvugu Mlimani: Makundi tofauti yanaunga mkono viongozi tofauti
Mitetemeko katika mlima inaonekana kuanza kutulia, na mazungumzo ya urithi ambayo yalikuwa yakishika kasi yanaonekana kupungua. Naibu Rais Rigathi Gachagua sasa anaonekana kupata udhibiti ghafla.
Wanasiasa wachanga nao wametuliza mihemko, kwa kile kinachoonekana ni makubaliano ya wazi ya kuwaacha walio madarakani waongoze huku wakiyakuza matarajio ya wale walio nyuma yao.
Lakini hali haikuwa tulivu hivi kwa muda, hadi alipotoa kauli na kuzuia malumbano hayo Rais William Ruto mnamo tarehe 23 Januari 2024. Ibrahim Karanja na makala #VuguvuguMlimani
Behind the byline
A journalist is your first point of contact with information that is either...
September 1, 2024
The bandit lands
Over the last 25 years, Kenya’s expansive North Rift has been an insecurity...
August 25, 2024
How specialised programs in Kisumu are empowering the signing community | E...
This week on Equality, our Gender Affairs Reporter, Ruth Munyi, takes us to...
August 24, 2024
Bishop Alexander Kipsang Muge: Ultimate Price.
It is now thirty-four years since the death of then vocal ACK Bishop of Eld...
August 18, 2024
Four-year-old develops fistula after being defiled by neighbour | Equality
A young mother is grappling with emotional trauma while her four-year-old d...
August 18, 2024
The plastic restaurant in Lamu making progress in addressing plastic pollut...
The communities in the Lamu archipelago have made remarkable progress in ad...
August 13, 2024
Logs of contention: The Battle for Kenya's eucalyptus
A year after the lifting of the logging ban in Kenya, local timber manufact...
August 11, 2024
Thank you for the rain
Five years ago, Kisilu, a Kenyan farmer, began using his camera to document...
August 7, 2024
#CoupDeterred: Intrigues of attempted coup on President Moi's government
Last Thursday marked exactly 42 years since the failed coup attempt of 1st ...
August 4, 2024