Walio na makaratasi hawana ajira, walio na ajira hawana makaratasi - Benson Mwanza | NTV Sasa

Je ukosefu wa Ajira ndio chanzo cha vurugu katika kampeni kama ilivyoshuhudiwa pale jana katika kampeni ya kenya kwanza jacaranda mjini Nairobi?, Benson Mwanza ambaye ni mwanasiasa anasema kwamba hata baada ya vijana kusoma na kutia bidii shuleni, ufukara na ukosefu wa ajira unawasukuma kuchukua pesa kidogo wanazopewa na viongozi na kufanya vurugu.

|
News Features